BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Ukraine na Urusi zabadilishana mamia ya wafungwa
Pande zote mbili zilikubaliana kubadilishana wafungwa 1,000 na kuthibitisha kutakuwa na mabadilishano zaidi katika siku zijazo.
'Wanaume hawana hisia" na habari zingine potofu ambazo hatuelewi kuhusu "uanaume'
Ni kawaida katika jamii zetu za Kiafrika kwa watoto kukua katika familia ambazo wazazi hawaonyeshi hisia zao waziwazi. Hisia ya hasira mara nyingi, ndiyo inayojitokeza hasa wanapoonyeshwa kukerwa na tabia fulani ya mtoto au mambo fulani katika jamii.
Kabila kuvuliwa kinga ya Urais, nini kinafuata na nini hatma yake?
Ni rasmi sasa Bunge la Seneti la DRC limeondoa kinga ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Joseph Kabila, na hivyo kumtengenezea njia ya kufunguliwa mashtaka, je hii itakuwa rahisi?
'Nilienda kwa ajili likizo ya Krismasi nyumbani, 'nikakeketwa'
Alipokuwa na umri wa miaka 12, Catherine Meng’anyi alifanyiwa ukeketaji na mhuduma wa afya wa eneo. Miongo kadhaa baadaye, sasa anapinga ukeketaji na kulinda mamia ya wasichana.
Wanandoa wa Urusi walivyotoa habari za ujasusi kwa Ukraine
Wakati Sergei na Tatyana Voronkov walipohama kutoka Urusi kwenda kijiji kidogo cha Ukraine, walitarajia kuishi maisha ya utulivu, lakini mambo yaligeuka na kuwa tofauti sana na matarajio yao.
Koletha Kakuru: 'Nilijisaidia haja kubwa kupitia njia ya haja ndogo"
Kutengwa na kuchekwa kulimvunja moyo na kumnyima hali ya kujiamini.
Presha 6 zinazoikabili Simba SC dhidi ya Berkane Zanzibar
Baada ya kupoteza kwa mabao 2-0 ugenini kwenye dimba la Berkane, Wekundu hao wa Msimbazi wanahitaji ushindi wa angalau mabao 3-0 ili kugeuza matokeo na kutwaa taji lao la kwanza barani Afrika.
Golden Dome: Jinsi mfumo mpya wa ulinzi wa makombora wa Marekani utakavyofanya kazi?
Mfumo mpya wa ulinzi wa makombora wa Golden Dome ambao Marekani inatengeneza utafanana kimawazo na mpango wa Strategic Defense Initiative (SDI), ambao rais wa zamani wa Marekani Ronald Reagan alianzisha mwaka wa 1983.
Tetesi za Soka Ulaya: Chelsea na Man Utd 'zateta' na Delap wa Ipswich
Mshambuliaji wa Ipswich Town Liam Delap amefanya mazungumzo na Chelsea na Manchester United kuhusu uwezekano wa kuhamia mojawapo wa klabu hizo
Boniface Mwangi: Mfahamu mwanaharakati wa Kenya mwenye utata
Boniface Mwangi ni mwanahabari wa Kenya, mwanasiasa na mwanaharakati aliyejihusisha na harakati za kijamii na kisiasa
Daktari anayesaidia wagonjwa kufa
Stefanie Green ni miongoni mwa madaktari wa kwanza wanaosaidia watu kufa nchini Canada.
VPN ni nini, na unahitaji kuitumia katika mazingira gani?
VPN huwezesha kutumia mtandao kwa njia fiche na kuficha utambulisho wako mtandaoni.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Gumzo mitandaoni
Waliohama Chadema: Wanakwenda kukifufua Chaumma au kudidimia nacho?
Taarifa za vyombo vya habari vya ndani nchini Tanzania zinaeleza kuwa mamia ya wafuasi wengine wa Chadema wako njiani kuhamia Chauma. Bila shaka hizi ni taarifa za neema kwa chama hicho na taarifa mbaya kwa Chadema.
Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi aachiwa huru Tanzania
Mwanaharakati huyo alipatikana katika eneo la Ukunda, mpakani mwa nchi hizo muda mfupi baada ya Kenya kuiomba Tanzania kumuachilia huru
Namna Marekani ilivyopata Uhuru kwa kikombe cha Chai
Hunywewa kwa amani majumbani, maofisini, mitaani na hata bungeni. Lakini historia ya chai haijawa na utulivu kila wakati. Kuna wakati, kikombe cha chai kilikuwa silaha ya mapambano.
Kwa nini kesi ya Lissu inavutia macho ya kimataifa?
Uhaini ni kesi ambayo ukipatikana na hatia hukumu yake inaweza kuhusisha kunyongwa hadi kufa, na kesi ya kuchapisha taarifa za uongo, inaweza kukuingiza faini au kufungwa gerezani si chini ya miaka mitatu ama yote mawili.
Yafahamu matunda hatari zaidi duniani
Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu.
Ibrahim Traore: Habari potofu zinazotumiwa kumtukuza kiongozi huyu wa kijeshi
Mamia ya video zinazotolewa na AI zikimuonesha Bw Traoré kama shujaa wa Afrika nzima, nyingi zikiwa na taarifa za uongo, zimekuwa zikijaa kwenye mitandao ya kijamii kote Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara tangu mwishoni mwa Aprili.
Je, kula haraka haraka ni mbaya kwa afya yako?
"Kula kwa uangalifu mara nyingi husababisha kula polepole zaidi ... kwa kawaida hupungua, unatulia ili kufahamu kile unachokula na matokeo yake, unachukua muda wako.
Je, Chadema inajijenga au inajimega?
Kuna vita vya aina mbili ambavyo kwa sasa Chadema inapigana kwa wakati mmoja. Wao kwa wao na wao dhidi ya utawala.
Ifahamu mimea mitano inayolindwa zaidi duniani
Kwa mujibu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), mimea ni asilimia 80 ya chakula cha binadamu na asilimia 98 ya oksijeni.
Kanisa Katoliki lina utajiri kiasi gani na unatoka wapi?
Kanisa Katoliki ni taasisi ya kidini ambayo, kwa nadharia, haina lengo la kukusanya mali au kupata faida, kulingana na Kanuni ya Sheria ya Canon, lakini je, inapataje mali zake?
Mambo sita kuuelewa msimamo wa Papa mpya
Papa Leo alichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Alhamisi kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Papa Francis, katika kongamano la siku mbili katika Jiji la Vatican.